Rahisisha rekodi za mauzo
Usalama wa taarifa
Mfumo ni salama katika kuhifadhi taarifa bila kupotea, taarifa zako utazipata popote ulipo kwenye kompyyuta au simu janja yenye mtandao
Mfumo utakutumia taarifa kuhusu mauzo, faida na matumizi kutoka kwenye maduka yako yote kila siku
Taarifa hizi zinakupa utambuzi wa hasara au mwenendo wa biashara kila siku na kukusaidia kuzuia hasara
Mfumo ni salama katika kuhifadhi taarifa bila kupotea, taarifa zako utazipata popote ulipo kwenye kompyyuta au simu janja yenye mtandao
Tuna jali sana usiri wa taarifa zako
Taarifa za miamala ya wateja waliokopa na wasambazaji wanakudai, mfumo umerahisha uhifadhi wa taarifa za madeni
Epuka kugombana na wateja kwa kuhifadhi kila muamala kwa mfumo uliomahiri kudhibiti miamala ya wateja wanaokopa
Udhibiti wa taarifa za oda zako, malipo yake na tarehe zilizofanyika, kwa urahisi zaidi
Toa huduma kwa haraka acha mauzo360 ikusaidie kwenye udhibiti wa taarifa
mauzo360 ni mfumo wa kisasa unaokidhi kiu ya wafanyabiashara hasa wamiliki kudhibiti biashara zao popote pale walipo. Zifuatazo ni sababu chache zakukufanya utumie mfumo huu.
Rahisisha rekodi za mauzo
Mahesabu kua rahisi
Rahisisha Usimamizi
Msaada kwa wateja 24/7
Wamiliki wa supermarkets za ukubwa wa aina zote wanaweza kutumia
Wasambazaji wa jumla na rejareja wa vifaa tiba na dawa za aina zote
Maduka ya mahitaji ya kila siku maarufu kama mangi
Maduka ya vyakula, vinywji, maeneo ya bar
Kama umejiuliza maswali haya na kujiridhisha basi huu ni mfumo sahihi kwako.
Unabanwa na kazi? Na unashindwa kutembelea sehemu zako ulizowekeza?, Je unaogopa kuwekeza kwenye biashara kuhofia kuibiwa?, Je unapatashida kufunga mahesabu ya siku kwenye biashara yako?, Kama unapata shida kuhifadhi taarifa na kujua mwenendo wa bidhaa zako basi jibu la matatizo hayo ni mfumo huu.
Mfumo huu umeundwa kumuwezesha muuzaji kufanya mauzo na kurekodi matumizi,kujua bidhaa zinzouzika ili kufanya manunuzi kimalengo, kumuwezesha mmiliki kujua mwenendo wa mauzo,matumizi,faida,bidhaa zilizoisha,zinazokaribia kuisha,ilizo haribika na zinazokaribia kuisha muda wa kutumika. Hivyo kuokoa hasara au kuzuia madhara makubwa kutokea.
Ili kuanza kutumia mfumo utalipia kifurushi unachotaka kutumia, mtaalamu wetu atakutembelea popote ulipo Tanzania kukusaidia mpaka utakapoweza kutumia kwa ufasaha. Muhimu: Tutakutoza kulipia mfumo pale tu utakapoona unakusaidia na unauhitaji nao.
Taarifa zote za mfumo zinahifadhiwa kwenye mfumo wa kudhibiti taarifa na hazitatolewa kwa mtu yeyote ndani au nje ya mfumo. taarifa zote za mteja ni mali ya mteja.
Uza kwa kutumia (internet)
Mpaka maduka 2
Uza bila internet
Uza kwa barcode
Oda za manunuzi
Oda za wateja
Risiti za mauzo
Wadai na wadaiwa
Tumia mtandao binafsi wa network bila internet
Wauzaji bila kikomo
Ripoti za mauzo kwa barua pepe
Ripoti za mauzo kwa sms
Ripoti za maduka yote bila internet
Wajue wasambazaji wa bidhaa unazouza
Huduma ya kupakia taarifa (duka 1 bure)
24/7 Huduma kwa wateja
Uza kwa mtandao na bila mtandao
Maduka chini ya 5
Uza bila internet
Uza kwa barcode
Oda za manunuzi
Oda za wateja
Risiti za mauzo
Wadai na wadaiwa
Tumia mtandao binafsi wa network bila internet
Wauzaji bila kikomo
Ripoti za mauzo kwa barua pepe
Ripoti za mauzo kwa sms
Ripoti za maduka yote bila internet
Wajue wasambazaji wa bidhaa unazouza
Huduma ya kupakia taarifa (duka 1 bure)
24/7 Huduma kwa wateja
Weka mfumo kwenye miundombinu yako
Mpaka maduka 10
Uza bila internet
Uza kwa barcode
Oda za manunuzi
Oda za wateja
Risiti za mauzo
Wadai na wadaiwa
Tumia mtandao binafsi wa network bila internet
Wauzaji bila kikomo
Ripoti za mauzo kwa barua pepe
Ripoti za mauzo kwa sms
Ripoti za maduka yote bila internet
Wajue wasambazaji wa bidhaa unazouza
Huduma ya kupakia taarifa (duka 1 bure)
24/7 Huduma kwa wateja
Ni mfumo rahisi sana kutumia. Watoa huduma ni wasikivu na hujibu kwa wakati unapotaka kuwafikia. Kingine kinachoniridhisha ni uwepo wa vifurushi vya bei nafuu, hasa ukilinganisha na ufanisi na ubora wa huduma. Hadi sasa mauzo360 imetusaidia kuongeza ufanisi katika supermarkets zetu hasa kwenye mauzo na upatikanaji wa taarifa. Kiukweli ufanisi umeongezeka kwa kiwango kikubwa
Kwakweli hadi sasa ninafurahishwa na mfumo huu wa mauzo360. Ni mfumo wa kipekee sana katika usimamizi wa taarifa na shughuli za biashara. Kupitia ripoti zake za kina huwa ninapata picha nzima ya biashara yangu na bidhaa zinazotoka zaidi. Hakika mauzo360 ni suluhisho la kipekee kwa mfanya biashara yeyote mwenye lengo la kukuza biashara yake.
Wana ripoti za kina na rahisi kueleweka. Zinatoa ufahamu mzuri kuhusu takwimu za mauzo na mwelekeo wa biashara yetu. Urahisi wa kutumia mauzo360 unaruhusu timu yetu kuzingatia kazi muhimu badala ya kupoteza muda katika mchakato wa kujifunza. Kwa ufupi mauzo360 inaboresha ufanisi wa biashara kwakuwezesha upatikanaji wa ripoti muhimu na kutoa njia rahisi ya kusimamia mauzo yetu kikamilifu
Mfumo wa mauzo360 ni mzuri sana na ninaupenda kwa namna ninavyoweza kutengeneza na kuangalia ripoti kuhusu sehemu mbalimbali za biashara yangu. Na hii hufanyika kiurahisi na kiufanisi sana. Mfumo huu unaleta tija kubwa kwa biashara yetu kwani unarahisisha ukusanyaji wa kaarifa muhimu na uchambuzi wa data.