Sehemu moja inayotatua matatizo yote kwa ufanisi mkubwa, pata kila unachihitaji kwa ajili ya duka lako
Tunaamini katika kurahisisha kazi

Taarifa za duka lako, mkononi mwako. unaweza kutumia kompyuta au simu janja

svg-img
Dhibiti duka lako

Mfumo utakutumia taarifa kuhusu mauzo, faida na matumizi kutoka kwenye maduka yako yote kila siku

services
services
svg-img
Barua pepe

Taarifa hizi zinakupa utambuzi wa hasara au mwenendo wa biashara kila siku na kukusaidia kuzuia hasara

services
services
svg-img
Usalama wa taarifa

Mfumo ni salama katika kuhifadhi taarifa bila kupotea, taarifa zako utazipata popote ulipo kwenye kompyyuta au simu janja yenye mtandao

services
services
svg-img
Usalama wa taarifa

Tuna jali sana usiri wa taarifa zako

services
services
svg-img
Wadaiwa na wadai

Taarifa za miamala ya wateja waliokopa na wasambazaji wanakudai, mfumo umerahisha uhifadhi wa taarifa za madeni

services
services
svg-img
Wadaiwa na wadai

Epuka kugombana na wateja kwa kuhifadhi kila muamala kwa mfumo uliomahiri kudhibiti miamala ya wateja wanaokopa

services
services
svg-img
Oda za manunuzi na invoices

Udhibiti wa taarifa za oda zako, malipo yake na tarehe zilizofanyika, kwa urahisi zaidi

services
services
svg-img
Oda za manunuzi na invoices

Toa huduma kwa haraka acha mauzo360 ikusaidie kwenye udhibiti wa taarifa

services
services

Rahisi kutumia

Anza kutumia mfumo uokoe pesa na muda

mauzo360 ni mfumo wa kisasa unaokidhi kiu ya wafanyabiashara hasa wamiliki kudhibiti biashara zao popote pale walipo. Zifuatazo ni sababu chache zakukufanya utumie mfumo huu.

Rahisisha rekodi za mauzo

Mahesabu kua rahisi

Rahisisha Usimamizi

Msaada kwa wateja 24/7

308+

Wateja wetu

24+

Vipodozi & Maduka ya dawa

63+

SuperMarkets & Maduka ya vyakula

148+

Maduka mengine (nguo,eletroniki nk)

Biashara zipi zinaweza kutumia mauzo360

Mfumo huu unawasaidia zaidi
Wauzaji na Wamiliki Wa

1
SuperMarkets

Wamiliki wa supermarkets za ukubwa wa aina zote wanaweza kutumia

2
Maduka ya dawa na vifaa tiba

Wasambazaji wa jumla na rejareja wa vifaa tiba na dawa za aina zote

3
Duka la mahitaji ya nyumbani

Maduka ya mahitaji ya kila siku maarufu kama mangi

4
Bar,Lounge na Migahawa

Maduka ya vyakula, vinywji, maeneo ya bar

TUNAAMINI KWENYE THAMANI

Tambua kama unahitaji kutumia mfumo huu

Kama umejiuliza maswali haya na kujiridhisha basi huu ni mfumo sahihi kwako.

24/7Huduma kwa wateja

Unabanwa na kazi? Na unashindwa kutembelea sehemu zako ulizowekeza?, Je unaogopa kuwekeza kwenye biashara kuhofia kuibiwa?, Je unapatashida kufunga mahesabu ya siku kwenye biashara yako?, Kama unapata shida kuhifadhi taarifa na kujua mwenendo wa bidhaa zako basi jibu la matatizo hayo ni mfumo huu.

Mfumo huu umeundwa kumuwezesha muuzaji kufanya mauzo na kurekodi matumizi,kujua bidhaa zinzouzika ili kufanya manunuzi kimalengo, kumuwezesha mmiliki kujua mwenendo wa mauzo,matumizi,faida,bidhaa zilizoisha,zinazokaribia kuisha,ilizo haribika na zinazokaribia kuisha muda wa kutumika. Hivyo kuokoa hasara au kuzuia madhara makubwa kutokea.

Ili kuanza kutumia mfumo utalipia kifurushi unachotaka kutumia, mtaalamu wetu atakutembelea popote ulipo Tanzania kukusaidia mpaka utakapoweza kutumia kwa ufasaha. Muhimu: Tutakutoza kulipia mfumo pale tu utakapoona unakusaidia na unauhitaji nao.

Taarifa zote za mfumo zinahifadhiwa kwenye mfumo wa kudhibiti taarifa na hazitatolewa kwa mtu yeyote ndani au nje ya mfumo. taarifa zote za mteja ni mali ya mteja.

Bei nafuu

Chagua kifurushi chako

POA

TSH 10,000/=

Kila Duka Kila Mwezi Bila internet | Kwa internet

Kitonga

Uza kwa kutumia (internet)

TSH 175,000/ Year

All Basic services include:

Mpaka maduka 2

Uza bila internet

Uza kwa barcode

Oda za manunuzi

Oda za wateja

Risiti za mauzo

Wadai na wadaiwa

Tumia mtandao binafsi wa network bila internet

Wauzaji bila kikomo

Ripoti za mauzo kwa barua pepe

Ripoti za mauzo kwa sms

Ripoti za maduka yote bila internet

Wajue wasambazaji wa bidhaa unazouza

Huduma ya kupakia taarifa (duka 1 bure)

24/7 Huduma kwa wateja

Zigo

Uza kwa mtandao na bila mtandao

TSH 275,000/ Year

Uza bila internet na pakia bidhaa baadae

Maduka chini ya 5

Uza bila internet

Uza kwa barcode

Oda za manunuzi

Oda za wateja

Risiti za mauzo

Wadai na wadaiwa

Tumia mtandao binafsi wa network bila internet

Wauzaji bila kikomo

Ripoti za mauzo kwa barua pepe

Ripoti za mauzo kwa sms

Ripoti za maduka yote bila internet

Wajue wasambazaji wa bidhaa unazouza

Huduma ya kupakia taarifa (duka 1 bure)

24/7 Huduma kwa wateja

maarufu

Kubwa lao

Weka mfumo kwenye miundombinu yako

TSH 475,000/Year

Tumia network na servers zako

Mpaka maduka 10

Uza bila internet

Uza kwa barcode

Oda za manunuzi

Oda za wateja

Risiti za mauzo

Wadai na wadaiwa

Tumia mtandao binafsi wa network bila internet

Wauzaji bila kikomo

Ripoti za mauzo kwa barua pepe

Ripoti za mauzo kwa sms

Ripoti za maduka yote bila internet

Wajue wasambazaji wa bidhaa unazouza

Huduma ya kupakia taarifa (duka 1 bure)

24/7 Huduma kwa wateja

Ushuhuda

Wateja wetu wanasemaje kuhusu mfumo wa mauzo360